Tikisa dance walitenda haki?

MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,366
1,620
Mahindano ya tikisa dance yalifanyika jana na washindi kujishindia zawadi za mamilioni. aidha mashindano hayo yalihusisha watu upiga kura kwa njiaya kutuma ujumbe mfupi wa maneno. kilichonisikitisha kabla ya mshindi kutangazwa hatukuonyeshwa idadi ya kura zilizopigwa ambazo ziliwapa ushindi huo. hii inanifanye nione kuna kukosekana kwa uwazi na kuleta wasiwasi kama haki ilitendeka kumpata mshindi. mnasemaje kuhusu hili?
 
Unalalamikia tikisa kutoonyeshwa kura,mbona hulalamiki kura za ccm mwaka 2010 kuwa hazina uwiano kila kituo?hiyo yaitwa chakachua style!!
 
hhahhaaaaa kama vishindano vidogo hivi vinakosa transaparent sipati picha huko kwenye maslahi ya nchi kutakuwaje!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom