Show ya sugu -anti virus 26.11.11 bamaga ustawi

Show ya sugu -anti virus 26.11.11 bamaga ustawi

Madoido

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
134
Reaction score
15
Wadau kama kawa kama dawa, jumamosi hii ni ya historia jijini dar na vitongoji vyake

sugu na crew mbali mbali watashow love na perfomance kali sana pale viwanja vya ustawi wa jamii,,si mnaelewa mambo ya anti virus lazima tuwashike wale haters,, hii ni veeettttooooo.....come one come all

with love...power is with people

hoollaaa[/b]
 
Ukiangalia kwa mbali vinega kama wanahujumiwa ktk show yao,why on the same date kuna show pale leaders club inayowahusisha wanamuzik wa bongo na wa nje(dmx na fabu),the same date kibaha kuna show ya bure ya epig nation,kwa maana hiyo vinega wajipange kwa kupunguza viingilio na kuongeza hamasa wa kupata mashabiki la sivyo wataangukia pua na kumpa kichwa mtu mmoja hiv aliwahi waahidi kwamba show yao haito fanikiwa,all in all tupo pmj nanyi,ila kwenye viingilio waliangalia upya kama inawezekana hata buk 2 au buk 1 cos ubaya ubaya
 
Mwacheni.....hiyo hujuma ni kweli, unajua kuna watu hawataki wenzao wapate,,wanataka keki ya taifa wale wao ...lakini uzuri kila ana wapenzi wake....huko kwa dmxxxx siendi n'gooooo lazima niasapoti mc wangu wakitaa na ambao nawafeel sana..so najua itakua ni mzuuuka wa kufa mtu pale bamaga..wrry not man its gonna be fine

mwanaharakati wako daima
 
Wadau kama kawa kama dawa, jumamosi hii ni ya historia jijini dar na vitongoji vyake

sugu na crew mbali mbali watashow love na perfomance kali sana pale viwanja vya ustawi wa jamii,,si mnaelewa mambo ya anti virus lazima tuwashike wale haters,, hii ni veeettttooooo.....come one come all

with love...power is with people

hoollaaa[/b]
Eeeeeebwana shega!!!!
 
Back
Top Bottom