Natafuta movie hizi, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta movie hizi,

Discussion in 'Entertainment' started by Jeff, Nov 14, 2011.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Wana jf,habarini! Ninatafuta copy za movie hizi za kinaijeria ambazo ziliwahi kuwa maarufu enzi zile,1) The Girls hostel na Disguise,nimejaribu kutafuta kwenye baadhi ya maduka hapa moshi sijazipata.Msaada tafadhali
   
 2. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Moshi ni Kati ya miji iliyoko nyuma sana kwenye uuzaji wa DVD.
   
 3. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Njoo kwenye maduka hapa stand ghorofani utaona maduka makubwa tu
   
Loading...