vinega hamsomeki

vinega hamsomeki

bpouz

Member
Joined
May 26, 2008
Posts
38
Reaction score
11
wana jf mambo vp hawa jamaa wana suport kubwa sana lkn wenyewe awajitambui koz wameweka contact zao kny newspaper then mara awapatikan hata wakipatikana hawa pokei tatizo awajui public relation ndo utii wa mgongo wa sanaa!! na ctak kukubali koz nawajua kuna jamaa pale wana ulewa mkubwa km mdogo wangu adil mkwera so washkaj jamaa wana suport then wanataka t shirt za show at any cost logistics zkoje?
 
hebu tafakari mambo ya katiba sio hawa walevi bana.mbona watz hamna vipaumbele jamani
 
hebu tafakari mambo ya katiba sio hawa walevi bana.mbona watz hamna vipaumbele jamani

katiba imefanya nini acha upimbi!tafuta michongo upige pesa kama inshu haikuhusu potezea!.....
 
Back
Top Bottom