Kama unakumbuka hichi Kitu kilichokuwa kinaitwa Mume wangu Jerry Bofya hapo Down Udownload na kusikia
http://likembe.net/Sounds/Mume%20Wangu%20Jerry%20-%20DDC%20Mlimani%20Park%20Orchestra.mp3...
Beauty queen who dreamed of becoming a nun is crowned Miss World - as angry protesters picket pageant
Winner Miss Venezuela was orphaned at eight and spent five years in a home run by nuns...
wadau muda kama huu napenda kukaa home nakusikiliza zuku za kikongo sasa hapa kuna ushindani nani mkali kati ya fally ipupa na ferry golla nasubiri majibu yenu enjoy weekand poa
Naamini wanaJF wengi mshasikiliza nyimbo ya NWO BABY REMIX wa2 wengi wametia mpaka kwenye cmu.Kinachonishangaza mshikaji kasampo nyimbo za SAIDA KAROLI ''Maria Salome'' na wabongo wanaiona kama...
eid ndo hii tushaianza.karibuni washikaji...maisha yenyewe ndo haya haya na raha jipe mwenyewe.maisha matamu lakini mafupi.tupo hapa ttc chang'ombe kama vipi njoo tusherehekee eid.yaani hii ni...
Wakuu, hawa vijana ni hazina ya Taifa, hizi mshawahi kuwasilikiliza na michano yao ya hatari? Mimi binafsi nawafananisha na MaMc walipita kama Kwanza Unit (Kwanzania), Imam Abas, Traveller mtoto...
Wakuu jana na leo nimejikuta nikisikiliza kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, kwa kweli kuna tofauti kubwa sanaaa nilivyosilkiliza sikuhizi mbili na vipindi vya nyuma alivyokuwepo Kibonde...kwa...
Kuna mtu ambae ni insider wa industry ya muziki na filam
Tanzania ameniambia kitu ambacho i hope sio kweli.....
i hope ni majungu tu ya kila siku......
amenitajia majina kama ya wasanii sita hivi...
Nimepoteza kipenzi cha muaba tanzania...nimepoteza mukanda wa kiuno......sio almasi sio dhahabu ni ishara ya usajili...jina lakee hidaya........dah hii nyimbo ni miongoni mwa nyimbo...
Nimesikitishwa kusoma na kuona habari katika picha katika gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa saba (7) Rais wa Miss Utalii, Gidion Chipungahelo akipigana na mmoja wa Majaji wa Shindano hilo kwa...
Ni pale ilipofikia hatua ya 5 bora ndipo ghafla kwa mshangao wa wengi,majaji wa mashindano hayo wakiongozwa na Gideon Chipungahelo walipoanza kuzozana na kutupiana makonde ya rejareja.Chanzo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.