Nash Mc, Moko (One Incredible), Big Boy Stereo na Niki Mbishi ni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nash Mc, Moko (One Incredible), Big Boy Stereo na Niki Mbishi ni

Discussion in 'Entertainment' started by Karata, Nov 3, 2011.

 1. K

  Karata JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wakuu, hawa vijana ni hazina ya Taifa, hizi mshawahi kuwasilikiliza na michano yao ya hatari? Mimi binafsi nawafananisha na MaMc walipita kama Kwanza Unit (Kwanzania), Imam Abas, Traveller mtoto wa Mbagala. Hawa madogo ni noma, kama wangekuwa wamezaliwa USA, wangekwishakuwa................................

  Ebu sikza hii pini Nash mc & P the mc ft One(incredible) & Stereo-TUNAIZINDUA MITAA - YouTube
   
 2. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  bila kumsahau darasa!wako tyt sana
   
 3. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Yah hao vijana wapo tait sana, ila kuwalinganisha na wakongwe ni mapema sana! Hebu kwanza wakomae na fitna za wakina Ruge na redio ya wafu.
   
Loading...