nani mkali

nani mkali

mareche

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
471
Reaction score
95
wadau muda kama huu napenda kukaa home nakusikiliza zuku za kikongo sasa hapa kuna ushindani nani mkali kati ya fally ipupa na ferry golla nasubiri majibu yenu enjoy weekand poa
 
wadau muda kama huu napenda kukaa home nakusikiliza zuku za kikongo sasa hapa kuna ushindani nani mkali kati ya fally ipupa na ferry golla nasubiri majibu yenu enjoy weekand poa
Fally Ipupa mkali, lakini mambo yote Werrason sikiliza kitu Techno Malewa babaa.
 
werasoni si chochote baba hapa nasikiliza shobo yake faliy na 30 imetulia zi mchezo kaka
Werrasson huwezi kunishawishi, ni mwanzo mwisho kuanzia show mpaka kuimba.
Nasubiri maoni mkuu.
 
werason nguli asiyechuja mwenye kasi na kwenda na muda na mwenye kujua hadhira inataka nini wakati gani, acheni dharau na kumtafutia mshindani ambaye hata yeye huyo mshindani anajua kama wera ni mikosi!huwezi kufananisha nguli na chipukizi!....fally mkali zaidi ya golla ila si mkali zaidi ya wera
 
Back
Top Bottom