it is live na 20 bora wamepatikana.......................na yeye hayumo......................nao wamepunguzwa wamebaki 15..................she is out...................pamoja na kutudanganya kwenye TBC1 leo jioni ya kuwa ametolewa mapema lakni alisikia jina lake limerudishwa.........................tujifunze kuwa wa kweli hayumo even in top 50...............................
hahahaha ile dhambi waloifanya cku ile meli ilipozama zanzibar(rip ndg zangu)ndo imewasumbua na bdo skendo chafu chafu zitamwandama akirejea!na miss tanzania ndo mwishowe!
Ifikie kipindi tubadili utaratibu wa kumpata Mrembo yeyote katika shindano lolote la urembo,maana wanaochaguliwa hasa kwa miaka ya hivi karibuni wengi wao hutokana na ''KAMATI MAALUM'' ambayo kwayo inatia shaka.Refer Dodoma hivi karibuni.
Kwanza afadhali atoke, analaana ya waliokufa kwenye meli ya Zanzibar. Na kama hawata omba Radhi kwa lile waliolifanya siku ile kwa kutokuwa na masikitiko kwa waliopoteza uhai, ninamuomba mungu awape matatizo makubwa kushinda hilo la kutoka mapema.
Ifikie kipindi tubadili utaratibu wa kumpata Mrembo yeyote katika shindano lolote la urembo,maana wanaochaguliwa hasa kwa miaka ya hivi karibuni wengi wao hutokana na ''KAMATI MAALUM'' ambayo kwayo inatia shaka.Refer Dodoma hivi karibuni.
vigezo vya kuwachagua bado ni pasua kichwa.....................tungezigatia wenye vipaji kulikoni maumbile ambayo vipimo vyake ni vigumu kubashiri vionjo vya kila mtu.............
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.