Miss World 2011 live

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,143
3,624
Jamani nimenogewa kuna wasichana Mungu anisamehe nimejiuliza nchi yao hawakuwaona vizri maana

BTW our TZ girl looks good
 
hivi Londan kumekosekana watanzania wa kwenda kumsupport mwenzetu?au kila mtu baili..
 
my fav country since I was a child won...Venezuela

waandaaji wa Miss Tanzania wange saidia Miss Tz kama wangetangaza wapi watu wamvotie. hakuwa hata kwenye top 30.
 
Back
Top Bottom