leo msondo kesho sikinde

leo msondo kesho sikinde

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,496
Reaction score
61,880
eid ndo hii tushaianza.karibuni washikaji...maisha yenyewe ndo haya haya na raha jipe mwenyewe.maisha matamu lakini mafupi.tupo hapa ttc chang'ombe kama vipi njoo tusherehekee eid.yaani hii ni jana na leo na kesho.mia
 
Back
Top Bottom