Jahazi Cluds FM bila Kibonde

Chiluba

Member
Nov 8, 2007
51
7
Wakuu jana na leo nimejikuta nikisikiliza kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, kwa kweli kuna tofauti kubwa sanaaa nilivyosilkiliza sikuhizi mbili na vipindi vya nyuma alivyokuwepo Kibonde...kwa kifupi kwa sasa kipindi kinaeleweka na kina mtiririko mzuri kidogo, hakuna story na comments za kujinga kama ni jokes inaeleweka ni joke kama ni habari inaeleweka ni habari...Kayanda anaenda vizuri ila huyu wasiwasi sio kihivyo..ila kwa sasa kinasikilizika.
 
Bila Kibonde Jahazi kinapwaya sana. Ila kwa sasa yupo likizo. Atarudi karibuni.
 
Wakuu jana na leo nimejikuta nikisikiliza kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, kwa kweli kuna tofauti kubwa sanaaa nilivyosilkiliza sikuhizi mbili na vipindi vya nyuma alivyokuwepo Kibonde...kwa kifupi kwa sasa kipindi kinaeleweka na kina mtiririko mzuri kidogo, hakuna story na comments za kujinga kama ni jokes inaeleweka ni joke kama ni habari inaeleweka ni habari...Kayanda anaenda vizuri ila huyu wasiwasi sio kihivyo..ila kwa sasa kinasikilizika.

Bado hamjanishawishi kusikiliza upuuzi wa hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom