Nimepoteza mukanda wa kiuno...

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Nimepoteza kipenzi cha muaba tanzania...nimepoteza mukanda wa kiuno......sio almasi sio dhahabu ni ishara ya usajili...jina lakee hidaya........dah hii nyimbo ni miongoni mwa nyimbo zinazonikumbusha mbali sana na huisi kulia kila nikiisikiliza kwa kweli.....r.i.p pepe kalle baba lao
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom