Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ni web gani naweza kudownload free comedy za basketmouth. thanks
0 Reactions
0 Replies
909 Views
here's my top ten.. 1. kool and the gang 2. blackstreet 3. jodeci 4. the temptations 5. the jackson 5 6. the isley brothers 7. earth wind and fire 8. the ojay' 9. boys to men 10. new edition and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale mliofuatilia 'The Voice' season 1, mtamkumbuka binti huyu, very innocent and shyly face, alikuwa mentored na Blake Shelton, mzee wa 'you will be my Louisiana, I will be your...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Usiku huu nime-google jina langu ndipo nimekutana na habari hii; ' Maggid Mjengwa ana virus? Nimejadiliwa katika angle hiyo kwa kile kilichodaiwa na mwanzisha mada kuwa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Akitumbuiza mjini Iringa ukumbi wa Highland Hapa akiwa amekosa raha kabisa baada ya wahuni wa Iringa kumuibia viatu na kumwachia sox. Hivi viatu alivyo azimwa kwa muda ajisitiri. Muimba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu mnaukumbuka wimbo huu? Hakika uwa ni wimbo wa faraja sana hususani kwa hili dimbwi la umaskini uliokithiri wa taifa na watu wetu!! Bobby McFerrin - Don't Worry Be Happy - YouTube Furahia.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sasa tunasikia tena akina sele, necha, feruz, na wenzao wote ambao walikua wanabaniwa Clouds are doing this expecting kukomesha vinega, unfortunately, wanatekeleza ilani ya vinega SAFI SANA...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Track imesimama sana jamaa always huwa anaongea ukwel mtupu Download hapa Download Barua DOWNLOAD IZZO BIZNESS FT DULLY SYKES - BARUA ~ Hassbaby's (Mapacha)
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani ndugu zangu tunaopatikana pande za Arusha twende kwenye mazishi ya marehemu mr.Ebo.Tulimpenda ila MUNGU ALIMPENDA ZAIDI JINA LA MUNGU LITUKUZWE.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kindly follow the url BONGOMP3- Download miziki mipya ya bongo | Bongo flava, nyimbo za dini, boringo, taarabu, zilipendwa na VICHEKESHO
0 Reactions
6 Replies
9K Views
"Kwetu Pazuri Nimeshapakumbuka". Ile kwaya ya Ambassador of Christ kutoka Rwanda Itakuwepo pale Diamond Jubillee Jumapili 04/12/2011 wakizundua Album yao mpya waliyoiandaa baada ya kupata ajali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
She's Too Good For Everyone Lyrics Oh here she comes, it's "miss too good for everyone", Hot since the seventh grade, mean as a snake in a knot Not just some pretty girl, she's "muy en...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau, hivyi katika tasinia ya habari Tanzania kuna mtangazaji anaelipwa mil 5 za Tanzania au zaidi? Lakini kwa Kenya na Uganda mambo ni kama hivyi; Allan Kasuijja is the highest paid radio...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Hili goma lilikuwa ni kali lilipendwa sana kanda ya ziwa na kwingineko nilisikia kuna tajili mmoja wa Kenya aliwatafuta waimbaji wote waliopo hai na kuimba nyimbo zote upya na kuziweka on video...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
l http://youtu.be/4gTAAduiW3Y Kwa mlio mbali na nyumbani, haijalishi upo Dar na kwenu Kigoma, upo Lindi na kwenu Mwanza au upo Norway na kwenu ni Congo.This one is for you. Enjoy. T
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau na wapenzi wa muziki wa hip-hop tujadili track kali ambazo zinasumbua masikio yetu kupitia redio zetu na macho yetu kupitia Tv zetu: Mimi napenda hizi zifuatazo: 1.''how to love''- Lil...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Prodyuza na mmiliki wa studio ya Combination Sound, John Shariza a.ka Man Walter amezitaja sababu zilizomfanya msanii 20% kutokwenda kwenye studio yake. Msanii huyo ambae ameandaa albamu yenye...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
CONRAD MURRAY found guilty for supersatar's manslaughter. The jury deliberating the fate of Michael Jackson's doctor has found him guilty of involuntary manslaughter. Conrad Murray,58,was...
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Hi! Jf,kati ya ferouz,na Tundamani nani mkali wa ngoma za kulialia? Ferouz amelia ngoma kibao,tangu DazNundaz,mpaka alipatoka kivyake..msikie Tunda anavyolia pale Tiptop connetion...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hakika ile shoo iliyopigwa na muheshimiwa Sugu akishirikiana na Vinega kweli nimemkubali huyu muheshiwa mbunge aliturusha mpaka nimeburudika vya kutosha! Sasa namtaka kijana Ruge akubali yaishe na...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…