Ndugu wana JF naomba Msaada Wa Kupat Jina La Wimbo Huu! Wimbo Unasikika Kipande Kidogo tu Kwenye Tangazo La Eid Katika Radio Clouds ni Wimbo wenye mahadhi Ya South Africa kuna Sauti ya Mdada...
kati ya superhero gan unamwona nguvu zake au yake ni the best je ni superman au batman au spiderman au wale wa xmen kama kina magneto in short nani atatembezea wenzake?
Wakuu kwa wale wafuatiliaji wa hii kitu leo ndo final, Mshindi ni mmoja kwa mwaka huu na ataondoka na kitita cha USD-300,000.East africa tunawakilishwa na Prezoo aka the president from kenye na...
Wana Jamii forum woote napenda kuwakaribisha kwenye Blog yangu na hii ni baada ya kupost huku kuulizia mapungufu na maborosho gani niifanyie sasa Wote mnakaribishwa kusikiliza, kusoma na ku...
Snoop Dogg wants you to know that he's tired of hip-hop, is Bob Marley reincarnated and is embracing reggae instead of the culture of guns he once rapped about.
Also, he's got a new name: Snoop...
BAADA ya kutamba kwa muda mrefu katika muziki wa kizazi kipya nchini, msanii nyota wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond' amesema anafikiria kujitosa katika muziki wa taarab...
(Kwa hisani ya Investopedia)
Modern Olympic Games date back to 1896 when Athens hosted the first event. Historical records have traced the first ancient Olympic Games to around 776 BC. The...
Wanajamii wenzangu hivi kwanini mahakama inashindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu maendeleo ya kesi ya msanii Elizabeth Michael mana mtoto huyu ameendelea kukaa rumande siku hadi siku na pia...
Hi wana JF.
Naomba mtu yeyote mwenye tafsiri ya wimbo "muzina' ulioimbwa na Tabu Ley wa Congo (DRC).
Tafsiri hiyo inaweza kuwa kwenye form ya lyrics, etc.
Thanks in advance.
Heaven, is there a chance that you could come down
And open doors to hurtin' people like me
People like me, people like me
People like me, people like me
Is it fair to say that I am stressing...
Nilikuwa sifahamu kuwa Wanaume wameshavigomea Vidonge vyao.
Sasa sijui nani Mjanja dunia hii ya leo? Ila mwisho wa siku, Buzi linachunwa na Changu linaachwa Solemba.
Mwingine anadai alichezewa...