WANNE STAR,huo ndo utamaduni wa mtanzania?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Ni katika REDDS MISS TZ 2012,Taji Liundi anampisha WANNE STAR huku akimsifia kwa ngoma na nyimbo zake zenye kutangaza utamaduni wa m-tz.Mara kundi la WANNE STAR linapanda jukwaani na kuanza kupiga nyimbo za kundi la makhirikhiri la Tshumba Ratshega wa botswana.Amenishangaza!kwanini asicheze ngoma zetu za asili?za kingoni,kisukuma,kimakonde,kifipa e.t.c?mi naona jamaa wamechemka mbaya.
 
" copy cats" ubunifu watanzania hatuna ni kukopi tu ndo kazi yetu.
 
Duh!inaonesha wamjua mpaka kitaa anakoishi.

Jamaa kachoka kweli hata duka lake pale kwa Azizi Ali anafungua kimachale siku hizi.. Msanii kama msanii alitakiwa aende na wakati atunge nyimbo mpya na displine katika kazi na kuheshimu subordinates wake n work as a team, huyu jamaa alikuwa anaForce kutembea na wasanii wake wa kike mwisho wa siku wote wakamkimbia.. Atleast kapata hata hiyo show maana anapoelekea hakawii kuvunja masanduku ya kufugia nyoka na kugeuza kuni..
 
kweli tumepata kazi hasa kuelewa ni Wanne!!
ame copy...Aibu
 
Jamaa kachoka kweli hata duka lake pale kwa Azizi Ali anafungua kimachale siku hizi.. Msanii kama msanii alitakiwa aende na wakati atunge nyimbo mpya na displine katika kazi na kuheshimu subordinates wake n work as a team, huyu jamaa alikuwa anaForce kutembea na wasanii wake wa kike mwisho wa siku wote wakamkimbia.. Atleast kapata hata hiyo show maana anapoelekea hakawii kuvunja masanduku ya kufugia nyoka na kugeuza kuni..

Duh!,kweli unamjua
 
Wanne kaishiwa siku hizi hana mpya zote chakavu kama Suzuki yake..

Hiyo Suzuk hata mimi naijuwa, huwa naionaga maeneo ya Tandika lkn nilikuw siamini kama ni yake ingawa ameandika jina WANNE STAR kwa heruf kuuuubwaa!
 
mbona wapo wengi tu wanaimba kwa kufuata utamaduni wa mtanzania, kuna wale sijui wanaitwa makondeko band sijui wako wapi siku hizi, sema ndio hivyo kibongo ni kupeana dili, na wanne star wakawaibisha mimi nilijua ni makirikiri wamepanda jukwaani!
 
Jamaa kachoka kweli hata duka lake pale kwa Azizi Ali anafungua kimachale siku hizi.. Msanii kama msanii alitakiwa aende na wakati atunge nyimbo mpya na displine katika kazi na kuheshimu subordinates wake n work as a team, huyu jamaa alikuwa anaForce kutembea na wasanii wake wa kike mwisho wa siku wote wakamkimbia.. Atleast kapata hata hiyo show maana anapoelekea hakawii kuvunja masanduku ya kufugia nyoka na kugeuza kuni..

Kuni zinatoa kitoweo cha nyoka.
 
Nashangaa ngoma za kibongo zipo kibao, kuna KAMBINDI hata siku moja haijapigwa.
 
Sasa anaitwa watano Stars, tayari kwa kukopi.

wa TANZANIA uzuli ote ni wajuaji nawanaweza hebu ungia ww tukuone ili tupe 5 mwacheni KAKA wa mwenzenu agange njaa akija kuku bom ww sindio mtsema sana KAFULIA maisha ni mapambano yy hana mtu wakumpa issue ya Epa..sasa akaibe wapi???acheni hizooooo!!!!!!!
 
Back
Top Bottom