Hiyo biashara inakwenda kwa majina, kuna watu ni wana Dar es salaam hata uwe vipi hupati, wewe angalia tu kuna watu huwa wanakuja na idea nzuri na vitu ambavyo productive lakini udhamini hawapati, lakini anakuja mtu na idea ya kupambanisha sijui mashabiki wa timu za ulaya utashangaa anapata udhamini mnono though shughuli haina maslai kwa taifa kivile. Nadhani wameangalia uwezo na wepesi wa kuzunguusha ulimi kwa lugha ya malkia though waliohudhuria wengi ni wabongo (not applicable sana)