Ujio wa jb mpiana dar es salaam

Micro E coli

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
938
192
Wakuu nimesikia juju tu kuwa leo JB MPIANA atakuwa hapa leaders club nauliza amekuja na bend yake yote au ndo kaja tu kuuza sura mwenye habari kamili juu ya ujio huu atujuze hapa jamvini wakuu.
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
19,612
4,179
Alishuka na Le profesor Jean Kibese, Shaingengee, Serge Minyor Manyata, Rio, Fikare Mwamba kwenye Solo akisaidiana vzr kbs na Chechenko mwana Chelsea.

Show ilikuwa mbaaya hakuna mfano.
Vyombo vilikuwa vibovu na vyenye kuzimazima kila muda.

Watu hawakuwa wengi, inakadiriwa kuwa kama watu si zaidi ya 25 na waliokuwepo ni wale wapenzi wa JB Mpiana toka moyoni.

Hakika king Dodoo kamvua nguo Mareshare Mukulu kwa kuandaa show kama ile kwa kiingilio cha elfu 25.
 
Jongwe

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
1,040
651
Duh ilikuwa mbaya haina mfano. Maandalizi duni, nafikiri walikurupuka tu bila kujipanga.
 
Micro E coli

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
938
192
Wakuu weraaa ni noma atatia timu na koko mbanga,alice baba,kimbangu na wengine bahati mbaya captain na kabose hawapo pini za Werrason kama wabelo,malewa ni balaaaa wadau.
 
asrams

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
4,801
2,638
Haha eti watu 25! Dah! Tatizo is la JB tatizo ni waandaji hata Jb alipohojiwa alisema Kama maandalizi mazuri basi hakuna watu wanacheza lopele, biloko, rota rota mpaka asubuhi....

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,877
29,707
Alishuka na Le profesor Jean Kibese, Shaingengee, Serge Minyor Manyata, Rio, Fikare Mwamba kwenye Solo akisaidiana vzr kbs na Chechenko mwana Chelsea.

Show ilikuwa mbaaya hakuna mfano.
Vyombo vilikuwa vibovu na vyenye kuzimazima kila muda.

Watu hawakuwa wengi, inakadiriwa kuwa kama watu si zaidi ya 25 na waliokuwepo ni wale wapenzi wa JB Mpiana toka moyoni.

Hakika king Dodoo kamvua nguo Mareshare Mukulu kwa kuandaa show kama ile kwa kiingilio cha elfu 25.

mareshare mukulu??au papaa maisha na hawara yake mama sakina?
Dodoo kwisha kazi yake si mnakumbuka ile show ya ferre gorra??aisee vile visanii vilipata tabu.
Dodoo tapeli sana maskini maisha.
Ndo maana mama sakina alimnasa makofi
 
Ndo maana mama sakina alimnasa makofi anapewa hele za matangazo anakula,anapewa hela kulipia diambond ukumbi mkubwa ye analipia kaduchu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom