Kuwa wa kwanza kuiona KESHO- Video mpya ya Diamond Platnumz

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,901
2,000
Hii ni Video mpya kabisa .
Na wewe ni wa kwanza kuiona.


Mkuu nimemsikia Diamond akisema hiyo video ni demo kutoka kwa watengenezaji huko Kenya ila official release baada ya amendments ni this friday.
Source: ea radio
 
Last edited by a moderator:

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,390
2,000
Aisee nimeiona wadada wasafiiiiiii.
Sehemu safiiiiiiii.
Kiukweli navutiwa sana na shooting safiiiiiiiii.
Naona pale alikuwa anacheza pharaoh's fortune cassino.
Pharaoh's gold au fortune ni iko juuu unaingia na 40,000 faida millioni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom