Kwa ufupi
1. "2030"
"leo Ridhiwani hafanani na Makongoro", kaskazini bila Tanga ni sawa na msondo bila Ngurumo, kwenye njaa kali kula kuku aliye chinjwa na Padri I love.......Tazama gongo la mboto...
Zaiko Langa Langa wakipiga live katika studio za televisheni nchini Zaire mwaka 1975. Quality ya video hii ni ya hali ya juu sana pamoja na kwamba imerekodiwa karibu miaka 40 iliyopita. Waimbaji...
Ni jumapili nyingine tulivu wanajamvi ndani ya mwaka 2013 ikiwa imetulia wengi wetu tukiwa nyumbani.leo nimeona si vibaya tukirudisha hisia zetu nyuma kwa kukumbuka makumbi ya starehe yaliokuwa...
Wakuu nitapata wapi kitabu cha hadithi "Adili na Nduguze"? Nafikiria kutengeneza filamu yake in 3 to 5 years from now. Nikipata kitabu cha "Kisa cha Hassan-li-Basir" nitafurahi pia. Nilivisoma...
Hello friends!
I search a partner for swap/selling coins of african countries.
I'm a Brazilian coin colletor, and find african coins. I have interest in buy coins, and swap coins.
Have a...
Mi Nakumbuka Kipindi Cha Hongera RTD kilikuwa mida ya mchana wakati ndo narudi shule nikiwa STD 1,2 hivi. Nmechoka jua kali njaa ya kutosha nmechafuka ile mbaya.. Nikifika 2 ndani friji liko wapi...
Tafadharini wekeni na nyimbo za ddc mlimani park maana wapenzi wa ddc wapo kama mimi na tungependa kununua baadhi ya nyimbo kwa njia ya iTunes ni rahisi kwa tusioweza kupata cd zao
have you ever read these novels?
One bright summer morning?
A point of no return!
Vulture is a patient bird
Tiger by the tail
A paw in the bottle- author James Hadley Chase
THE HOG
GREEN...
Habari zenu!
Naulizia beach nzuri na ya gharama nafuu kigamboni kuanzia entrance mpaka vinywaji na rooms.
Nataka kesho kutoka na wifi/shem wenu. Ahsanteni.
Katika kusherehekea miaka 49 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar leo kupitia TBC nimefurahishwa mno kumuona aliyekuwa rais wa Zanzibar mh Amani Karume akisisimkwa na ngoma ya Msewe kiasi kama...
wakali wa hip hop Tanzania one the incredible wamejitoa M LAB ambapo ndo studio walio kuwa wanarecord ngoma zao kali. wakali hao wa hip 2 hip hop wamethibitisha hili baaada 2 ya mkataba wao wao...