Daniel Nicholaus
Member
- Jan 27, 2013
- 18
- 3
Jamani wanajamii kama kuna mtu anazijua website za kudownload nyimbo za dini za Tanzania naomba anisaidie
Nyimbo za injili kaka
jaribu kuingia hapo Bongo flava,genge,injili and zilipendwa mp3| Muziki.net search nyimbo unayoitaka!
nimeshindwa kuzipakua
kama unatumia computer play kwanza....alafu tumia IDM yako kudownload
broh hapo sasa mm sina njia nyingine ya kukusaidiakaka natumia simu nimeshindwa kupakua nisaidie
Hivi ukiimba ukiwa umesimama wima au kucheza kuna tofauti gani? Daudi mwenyewe alimchezea Mungu kulingana na maandiko katika zaburi.siyo nyimbo za injili ni nyimbo za disko mambo ikisasa injili.nyimbo za injili ziko sabato na kidogo RC kwakuwa nao sikuhizi wanacheza mpaka utamaduni
kwani kucheza utamaduni ni dhambi? Kazi kwelikwelisiyo nyimbo za injili ni nyimbo za disko mambo ikisasa injili.nyimbo za injili ziko sabato na kidogo RC kwakuwa nao sikuhizi wanacheza mpaka utamaduni
Hivi ukiimba ukiwa umesimama wima au kucheza kuna tofauti gani? Daudi mwenyewe alimchezea Mungu kulingana na maandiko katika zaburi.
Nitaandika mada inayo husiana na mziki wa injiri kwa kutumia BIBLIA na utakae changia naomba utumie bibria siyo kukaririshwa au mazowea. waulize walio kutangulia ktk dini uliyomo je zamani walicheza, imekuwaje sasa au wamepata mafunuo mapya?