Lady Jaydee aanza kuhofia jini la Ruge!

Lady Jaydee aanza kuhofia jini la Ruge!

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,293
Reaction score
6,901
Mwanamuziki mahiri nchini Judith Wambura 'Jide' ambaye yuko safarini mkoani Dodoma, Jumamosi iliyopita alionesha kuhofia kutupiwa jini Ruge, baada ya kupita wiki kadhaa tangu azinguane na mabosi wa Clouds FM.
Jide ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Joto Hasira, akiwa njiani kuelekea Dodoma aliweka wazi katika Twitter juu ya kukerwa na mwendo mdogo wa dereva wa gari lao, kiasi cha kumtia wasiwasi wa kuvamiwa na jini la Ruge wakiwa njiani.
"Our driver is too slow, I wish I cud drive, OMG am so so tired. Have no idea what time will be in Dodoma, OMG jini la Ruge lisijetuvamia njiani," aliandika Jide anayejiandaa kuachia albamu yake ya sita inayokwenda kwa jina la Nothing but the Truth.


Lady JayDee
‏@JideJaydee
27 Apr
Our driver is too slow, I wish I cud drive OMG am so so tired. Hav no idea what time will b in Dodoma #OMG jini la Ruge lisijetuvamia njiani


Expand
 
sugu alishaanza kuwasanua sasa jide ndo anakinukisha!.fuk wafu fm ..mabujwazii wa hii game cku zenu zinahesabika!..
 
Back
Top Bottom