KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,936
'heshima wadau...
...ee bwana nimepewa zoezi la kupeleka watu kwanja kwa leo may day ila sjajua ni wapi kwa leo kina-happen wadau nkasema JF hakishindikani kitu ngoja nizame.
Ila sasa kuna wageni tuko nao ambao ni wa-sweden hivyo sitegemei mnitajie club masai kinondoni wala maisha ningeomba disco flani tulivu hivi ambapo najua hata wageni wangu wanaweza kukutana na wenzao wakawa na kampan ya kutosha sio,plz ur help...
...thanx in advance'