poul
Member
- Apr 21, 2013
- 56
- 17
napenda sana movie, na uwa najiskia vibaya napoona movie mbaya za kibongo, script hazijitoshelezi,na zile ambazo ni nzuri, mara nyingi zinakuwa copycat ya movie za nje.....mimi huwa naandika tu for fun, ila sasa nataka kujifunza kabisa niwe professional, ila cjui pa kuanzia....