Jamani hii muvi inaitwaje?

Jamani hii muvi inaitwaje?

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
10,811
Reaction score
11,031
Wakuu nimekumbuka enzi hizo nikiwa mdogo mdogo kulikuwa na muvi moja ya kikomando tulikuwa tunaipenda sana (mimi na vijana wenzagu enzi hizo). Stelingi wake tulikuwa tunamwita 'Komando chambo' (ila siyo jina lake halisi). Tulimwita hivyo kwa sababu ktk baadhi ya episodes zake alikuwa anakula chambo (aina fulani hivi ya minyoo - earthworms I think). Sasa kwa sababu ya hii tabia yake ndo tukawa tunamwita Komando chambo.

Naitafuta ili niweze kujikumbusha lakini nashindwa kuipata kwa sababu sijui jina lake halisi wala title yake. Ambaye ana kumbukumbu na hii muvi naomba anifahamishe jina lake niitafute kwa udi na uvumba!!
 
Mkuu si uwaulize hao vijana wenzio?
au wametangulia mbele ya haki?
 
dah hii muvi inanikumbusha kile kitanda chenye mawimbi manake jamaa alikuwa ananesa nacho
 
Inaitwa "Deadly Prey". Iangalie hapa:

Last edited by a moderator:
Asante sana Lukolo, it's the one!!!
 
Mkuu si uwaulize hao vijana wenzio?
au wametangulia mbele ya haki?

Aaah, naanzia hapa JF kwanza mkuu, hapa kikikosekana kitu ujue ni likely kukikosa huko mtaani, si unaona mkuu Lukolo ameishanitoa.... teh teh teh , chezea JF weyeee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom