Mfalme Wa Ryhmz

Mfalme Wa Ryhmz

Ben Jack

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
66
Reaction score
5
Hiv n kweli Afande sele atabaki kuwa Mfalme wa Ryhmz Tz hakuna mwingne
 
Namfagilia sana Sele pamoja na mambo yake , is one of my favorite singers hapa bongo.!
 
Namfagilia sana Sele pamoja na mambo yake , is one of my favorite singers hapa bongo.!

haaana kitu yule kashaishiwaa zama zake zimeishaa#Kaanza imba taarabu#Song yake mpya Sukari*
 
ZeZe ilinimaliZa kabisa Hata mseme nini!
 
Sele atabaki Afande mfalme Hashimu dogo....
 
hashim dogo....Salu T....Jmore....solothang....Fid Q....one incredible...
and then here comes...afande sele
 
Afande ni msanii mkali sana japokua anatakiwa ajiweke kama msanii mkubwa sio kujifanya kama mtu wakawaida sana. Binafsi napenda sana mashairi yake na style anayotumia.
 
afande ametoa wimbo mpya akimshirikisha bele 9.. "dini tumeletewa"..hakika kwa ujumbe uliomo bado ameudhihirishia umma kuwa bado afande ni mfalme wa mziki huu hapa bongo
 
Afande ni mkali ila zama zake zimepita..
images
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom