story yake iko simple arafu movie nzima imeshutiwa kwenye jengo moja mwanzo mwisho, humo ndani sasa ni kichapo, yani brutal fighting scenes...stunts za kufa mtu, unaweza kuiangalia tena na...
​Nawasalim woote!!
Nadhani wadau wa Hip Hop toka kitambo watakua wanalikumbuka hili songi...skumbuki vizuri ilikua released mwaka gani lakini wakati inaanza kupenya maskion mwangu nadhani...
Kwa habari nilizo zisikia ni kua baraza la mitihani wanatakiwa kurekebisha mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana na kutoa matokea mabaya,je mchakato huu utazingatia muda kweli,ili...
Hivi karibuni tumetoka kuskia na kuona habari na walaka ulio tolewa na msaani mwanadada Jayd kuhusiana na madudu na unyanyasaji unaofanywa na hiki kikundi cha watu wawili kilicho sajiliwa kisheria...
TASNIA ya filamu nchini inakua ingawa bado ukuaji wake hauna tija kwa wasanii na wadau. Hata hivyo, hali hii isiwe sababu ya kutufanya kulipua kazi zetu, bali tunapaswa kuangalia namna iliyo nzuri...
Wanajamii kwa muda sasa orijino comedy wamekuwa wakirusha segment ya salama condom binafsi siioni kama inajenga maana watu wataacha kuangalia kwa kuhofia kuharibu watoto wao......Naomba mawazo...
Authorities are unsure of the cause of death for the rapper, 34.
Rapper Chris Kelly, left, of the duo Kris Kross, has died in Georgia at the age of 34.(Photo: Paul Natkin, WireImage)
Story...
kwa kibongo bongo EATV,wamajitahid sana naona clouds tv wanakopi sana maujanja ya eatv,sasa wana mpango wa kirusha kipindi mithili ya in da house ambacho kilikuwa kinarushwa na eatv..
Mwanamuziki mahiri nchini Judith Wambura 'Jide' ambaye yuko safarini mkoani Dodoma, Jumamosi iliyopita alionesha kuhofia kutupiwa jini Ruge, baada ya kupita wiki kadhaa tangu azinguane na mabosi...
'heshima wadau...
...ee bwana nimepewa zoezi la kupeleka watu kwanja kwa leo may day ila sjajua ni wapi kwa leo kina-happen wadau nkasema JF hakishindikani kitu ngoja nizame.
Ila sasa kuna...
USTADHI FUNGUKA:ISHU YA DIAMOND KUBAKI NA MAREHEMU BI KIDUDE KUNYONYA NYOTA ZA BI KIDUDE
Baada ya msiba wa Bi Kidude kumalizika, hivi karibuni ziliibuka taarifa kuwa mwanamuziki Nasibu Abdul...
napenda sana movie, na uwa najiskia vibaya napoona movie mbaya za kibongo, script hazijitoshelezi,na zile ambazo ni nzuri, mara nyingi zinakuwa copycat ya movie za nje.....mimi huwa naandika tu...
Howdy?
When I was a teenager in the late 1990s and early 2000s, I never missed boogieing down on weekends.
It was the era that saw a boom of down-south hip hop music. Damn! I had unforgettable...
Wakuu kuna movie flani niliiona kama 2008 au 2009 hivi. Hii movie siikumbuki jina, lakini nakumbuka baadhi ya sehemu zake. Part ninayoikumbuka ni kwenye ndege ya abiria. Kulikuwa na ugomvi kati ya...
Sir Kassim Juma Nature, kinara wa kundi la TMK Wanaume Halisi akiwanyooshea Mike mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika mchuano wa NANI MFALME ambapo mashabiki walimkubali kuwa Mfalme wao...