HUYU NDO MREMBO ATAKAYEWAKILISHA SHINDANO LA BIG BROTHER MWAKA HUU
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye mitandao mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye...
Hiyo ni kauli aliyoitoa muheshimiwa sugu bungeni leo jioni hii,akizungumza kwa jaziba amewaasa vijana wa bongo flavor kuwa na ushikiano na kuacha unafiki ambao baadhi ya watu ,wakiwemo clouds FM...
Habari wanajamvi wenzangu
NINAWAKARIBISHA KWENYE TAMASHA LA UIMBAJI WA UPAKO NA MGUSO WA MUNGU KUKUTEMBELEA USIKOSE JPILI HII YA TAREHE 26/05/2013 PALE
HOUSE OF PRAYERS KINONDONI MKWAJUNI...
HIVI karibuni vyombo vya habari nchini, vilipambwa na taarifa ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule, maarufu kama Profesa Jay kujiunga na siasa kupitia Chama cha Demokrasia...
Wakuu heshima mbele,
nimekuja kiuhitaji zaidi, na this time nina shida na nyimbo za bibie Judy Boucher. Kwa yeyote anayefahamu napowea kuzipata tafadhali, maana nimehangaika kuzitafuta maduka...
Wadau mimi ni mpenzi sana wa vyombo mbalimbali vya ala za muziki kama vile piano,gitaa na drums,ila napenda sana piano.
Napenda kujifunza kupiga piano,je kwa hapa bongo/Dsm kuna sehemu/college...
Katika pitapita yangu kwenye TV nimegota Channel TEN baada ya kumuona baba wa Taifa akikataa ombi la watoto wake kurithishwa nafasi za uongozi kwa kutumia nafasi yake akiwa rais wa nchi hii...
License to Shill: Unearthed 'Thunderball' James Bond Wristwatch Expected to Fetch $90KBy Mike Krumboltz
Posts
By Mike Krumboltz | Movie Talk 10 hours ago
The famed 'Thunderball' watch...
CARLY RAE JEPSEN-Call Me Maybe
I threw a wish in the well,
Don't ask me, I'll never tell
I looked to you as it fell,
And now you're in my way
I'd trade my soul for a wish,
Pennies and dimes for...
Mimi ni mpenzi mzuri sana wa kuangalia movies za nje, na mara zote sijapata kuangalia Animation film yoyote nikiamini ni za kitoto
Jana nilidownload movie imeandikwa jina lingine na baada ya...
NISHA WA BONGO MOVIE AWATOSA WATOTO YATIMA....
MSANII wa maigizo, Salma Jabu Nisha, amedaiwa kuwatosa watoto yatima waliokuwa wakimsubiri baada ya kuweka ahadi kuwa angekwenda kuwatembelea na...