ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habari wanajamvi wenzangu
NINAWAKARIBISHA KWENYE TAMASHA LA UIMBAJI WA UPAKO NA MGUSO WA MUNGU KUKUTEMBELEA USIKOSE JPILI HII YA TAREHE 26/05/2013 PALE
HOUSE OF PRAYERS KINONDONI MKWAJUNI
KUANZIA SAA 8:00 MCHANA NA KUENDELEA
WAIMBAJI WATAKAOKUWEPO SIKU HIYO NI NEEMA GOSPEL CHOIR AIC CHANG'OMBE,
CORNERSTONE GOSPEL SINGERS, REVIVAL TEMEKE, WAIMBAJI BINAFSI NA WENGINEO WENGI
KUTAKUWA NA MAMBO MBALIMBALI NA VITU VITAPIGWA MNADA
NYOTE MNAKARIBISHWA SANA
MAELEKEZO YA KUFIKA KWENYE TAMASHA:
ukitaka kufika kwenye Tamasha Hilo kwa walio Dar es Salaam
kama unatokea mwenge shukia kituo cha Kinondoni Mkwajuni, rudi nyuma kidogo
ingia geti la CCM waulize madreva teski watakuonesha jengo hilo, na kama unatokea
Magomeni basi ukifika kinondoni mkwajuni vuka barabara nenda geti la ofisi za CCM uliza madreva teski watakuonesha mahali jengo lilipo HOUSE OF PRAYER
HAKUNA KIINGILIO NI MIGUU YAKO TU, NA WAKARIBISHE NA WENGINE
MNAKARIBISHWA SANA KWA PENDO LA AGAPE
Kwa Mawasiliano zaidi twanga hapa : 0764 038517 (usibeep)
COPY: Mamndenyi, Filipo, Nicas Mtei, Bakulutu, @gfsonwin, @Lyagwa, stevoh, @Kipaji halisi, Paloma,
Mtambuzi, Arushaone, Erickb52, Mentor, @Firstlady, Passion Lady, Ruttashobolwa, mathematics,
Dio, Mwita Maranya, @catherine denzi, amu, Asprin, @Mkaliwakitaa, steven masaku jr, na
wengineo wengi ambao sijawataja hapa nanyi mnakaribishwa

Attachments
Last edited by a moderator: