Msaada: nyimbo za Judy Boucher

Msaada: nyimbo za Judy Boucher

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
922
Reaction score
231
Wakuu heshima mbele,
nimekuja kiuhitaji zaidi, na this time nina shida na nyimbo za bibie Judy Boucher. Kwa yeyote anayefahamu napowea kuzipata tafadhali, maana nimehangaika kuzitafuta maduka kadhaa na kwa wachuuzi bila mafanikio kama kuna mtu pia anazo nitashukuru kuwezeshwa kuzipata.

Nahitaji collection ya nyimbo zake zote tafadhali. Natanguliza shukrani, nikiamini someone somewhere as the answer to my need.

Usiku mwema, wanaolala, kazi njema kwa walioko shifti ya usiku.
 
Mkuu mie ni muumini wa nyimbo za huyo mwana mama na nimezipata kibao kupitia www.youtube.com pale unaweza kuzirekodi lazima uwe na Real Player kwani ukiandika title ya mwimbo uupendao Real Player itakuambia download this video then just klik then unaweza kuziweka kwa Mp3 au kawaida tu na ukaziweka kwa CD ni rahisi sana.
 
Mkuu nashukuru sana.
youtube nimeshacheki lakini sikidhi kiu ya moyo.
Kuna collection yake inaitwa The Silk kama sijakosea, nyimbo zake nyingi tena kali. Ninawaza kwama knua mtu either anayo ama anajua inapatikana wapi au vipi, kwa kweli itakua msaada mkubwa sana kwa robo hii ya pili ya mwaka.
 
mkuu wewe upo pande gani?. nyimbo za huyu bibi zinapatikana madukani tena kilahisi tu. kama una shida kweli na umekosa maduka, waagizie hao wanao tembeza barabarani na uwaachie namba za simu watakupigia baada ya nusu saa ukachukue cds na dvds. mia
 
Back
Top Bottom