Mimi ni mpenzi mzuri sana wa kuangalia movies za nje, na mara zote sijapata kuangalia Animation film yoyote nikiamini ni za kitoto
Jana nilidownload movie imeandikwa jina lingine na baada ya kumaliza kudownload nakuta ni film inaita FINDING NEMO ni animation
Kwakuwa ilinicost usiku mzima kuacha kimeo changu kinadownload nikaona sio mbaya ngoja niiangalie
I was surprised.... sikuamini kama animation films zinaweza kuwa nzuri na zenye visa vya kufurahisha na kusisimua kama hii Finding Nemo
Najisikia kutaka kuangalia nyingine na zaidi, najua humu jukwaani wapo wadau wa film hizi
Ni film gani nyingine kali ya animation unadhani hutakiwi kukosa kuitazama?