Dsm burudni safi wapi leo weekend

Dsm burudni safi wapi leo weekend

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
17,650
Reaction score
11,236
Jamani weekend ndo hiyo,leo mi naenda WHITE HOUSE KIMARA ndo nitajipooza huko wewe je wapi?
 
manzese disco vumbi. Nikupe namba ya simu?
 
Nitakua Pale pa sikuzote panaitwa Simba Kapakatwa, nikitoka hapo naenda Brajec nikitoka hapo naenda kwa Mama Kamche pale Opposite na Kanisa la Kakobe na baada ya hapo najivuta mdogo mdogo hadi pale Calabash natafuta kadenti kanakojiuza naondoka zangu maana shemeji/wifi yenu hayupo...msinisemee lakini
 
Tukutane SIMBA KAPAKATWA bar! (samahani kwa wanamsimbazi lakini)
 
ROTE INN PUB kuna wajinga jana wamekuja pale cjui walianza kwanza na gongo then wakaja kusuuza pale,
 
Nitakua Pale pa sikuzote panaitwa Simba Kapakatwa, nikitoka hapo naenda Brajec nikitoka hapo naenda kwa Mama Kamche pale Opposite na Kanisa la Kakobe na baada ya hapo najivuta mdogo mdogo hadi pale Calabash natafuta kadenti kanakojiuza naondoka zangu maana shemeji/wifi yenu hayupo...msinisemee lakini
Mkuu hiyo CALABASH ipo pande zpi?
 
Dah!!! Watu mna hesabu za mbali kweli. Haya bwana. Mie ntakuwa mitaa ya Tmk na ntamalizia Royal Giraffe pale Sudani kuna ladies nite

duh mkuu nipe ratiba za hapo royal maana huwa nnapasikia, kama vipi tukutane copa kabana(tabata) na baadae swiss pub
 
23:30 mpaka 04:00 ntakuwepo Njenje pale Salender nikibaishia na kulimong'onyoa uno...
 
Groove back nite nyumbani lounge kwa peter moer patahusika leo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nitakuwa kanisani nawaombea nyie wadhambi.
 
Back
Top Bottom