Big brother africa;the chase

Big brother africa;the chase

The Gentleman Pirate

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
1,479
Reaction score
954
kwa fans wa hii reality show,napenda tujuzane housemates wa tz na nchi nyingine,kwa tetesi zilizozagaa gudlyf wata represent uganda,tonto dikeh naija
 
Wapendwa mwenye link ambayo tunaweza tazama online kama anaetazama kwenye Television naomba.
 
Lulu na Ray wasanii wetu wa Bongomovies mwaka huu ndo wataelekea mjengoni
 
Back
Top Bottom