Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Wadau mimi ni mpenzi sana wa vyombo mbalimbali vya ala za muziki kama vile piano,gitaa na drums,ila napenda sana piano.
Napenda kujifunza kupiga piano,je kwa hapa bongo/Dsm kuna sehemu/college wanapofundisha hiyo piano?
Naomba msaada wenu tafadhali
Napenda kujifunza kupiga piano,je kwa hapa bongo/Dsm kuna sehemu/college wanapofundisha hiyo piano?
Naomba msaada wenu tafadhali