Msanii atinga ukumbini na kivazi cha nusu uchi huku ndani akiwa "mtupu"

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
[h=3]MSANII ATINGA UKUMBINI NA KIVAZI CHA NUSU UCHI HUKU NDANI AKIWA "MTUPU"[/h]


MSANII wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake nyeti.




Jack akiwa kaacha nje nyeti zake (sehemu iliyozibwa).
Tukio hilo lilinaswa na mwandishi wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro, Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake halikufahamika.



Akiwa ukumbini hapo, mwanadashosti huyo aliyeonekana kula kilevi cha bei mbaya, alikuwa akiwatoa udenda wanaume kutokana na kigauni chake hicho kifupi hadi wengine kufikia hatua ya kumchana kuwa, alijichoresha kwa kutovaa ‘kufuli’.



“Huyu naye! Ndo nini sasa kutovaa kufuli kwenye kadamnasi? Wasanii wetu bwana,” alisikika kijana mmoja huku Jack akionesha kutojali.


MSANII ATINGA UKUMBINI NA KIVAZI CHA NUSU UCHI HUKU NDANI AKIWA "MTUPU" - MPEKUZI HURU
 
Kwa hiyo wangeona kufuli limetokea ingekuwa sawa? Muacheni apunge upepo bwana ama mlisikia harufu ya ubwabwa mkapata njaa?
 
Duh hizo mbunye zinanipitiaga kushoto!!

"To know the enemy is half the victory"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom