Tofauti Onesho la Jide na FA katika picha:

Tofauti nyingine ni kuwa Jide aliandaa onyesho mwenyewe na fedha zote anakunja yeye wakati MwanaFatuma aliandaliwa na Waliberali na anasubiria wampe kamisheni tu. Kimapato na kiuchumi MwanaFatuma kafunikwa Mbayaaaaaa

umenichekesha sanaaaaaa mkuuuuu
but mwanafatuma aliaidiwa ubunge wa viti maalumu ili akapambane na sugu....... ila ndio heshima inapungu sanaa kwake....

Hajui tu nyimbo zake siku hizi zinapigwa clouds tuuuuu.....
 
hivi mbona ukumbi ni kama wa lecture theatre chuoni?hapo washabiki watachezaje?au wanaangalia tuu kama sinema?

Halafu mbona mkorogo ulitembea sana kwenye ukumbi wa MwanaFatuma. Si wanawake, si wanaume wote wamejichubua ukiangalia picha. At first nilidhani ni promotion ya Caro Light kumbe ni tamasha la muziki. Au kuwa the finest lazima ujichubue?
Source ni Picha za Bongo5
 
Though Huyo mpiga picha hakuonyesha oblique picha za audience nafkir kwa malengo Fulani ila kiukweli Anaconda kabamba mbaya! Nilichokiona kwenye show ya MwanaFAtuma ni Kuwa kwanza wengi wa wahudhuriaji walikuwa busy na simu, gadgets na kupiga story means show iliboa then ukiwaangalia Hao mabongo celebrity waliokuwepo itakuwa ni complimentaries si mnawajua mastaa wetu kwa kupenda slope afu Hao wahudhuriaji sio wateja wa bongo flavor wako ki Whiz Khalifa zaidi kwa ufupi show ya FAtuma ilikuwa ka Boring Soap Opera Concert...
Tukija kwa Anaconda kila kitu kiko wazi kwanza ni show yake ka andaa mwenyewe hasubiri commission toka kwa mapromota afu wahudhuriaji walikuwa nyomi na ndo wateja halisi wa kazi za bongo Flavour afu kulikuwa na bongo flavours Legends kibao.
All in all viingilio vilikuwa juu ukilinganisha na kwa MwanaFAtuma
 
Halafu mbona mkorogo ulitembea sana kwenye ukumbi wa MwanaFatuma. Si wanawake, si wanaume wote wamejichubua ukiangalia picha. At first nilidhani ni promotion ya Caro Light kumbe ni tamasha la muziki. Au kuwa the finest lazima ujichubue?
Source ni Picha za Bongo5
Ni kwa sababu show iliandaliwa na Blauzi FM
 
nyumbani lanchi walikuwepo makapuku,wavuta bangi,wazururaji,waropokaji ambao huwa wanapenda kuwasingiza wenzao kuwa wanasababisha umaskini walionao wakati kwa msomi mwanaFA walikuwepo wenye akili zao,pesa zao na wanaojua burudani ni nini so wamelilax wanaburudika.sura za pesa zinaonekana.
 
kweli JIDE ametisha nadhani sasa heshima itakuwepo. Watu wanasema kamwe mwanaume wakweli usishindane na mwanamke katika maendeleo wewe shindana na wanaume wenzako
 
Kwa Jide Anaconda hio

DSC_4301.jpg


1013034_496177087128223_2099953756_n.jpg


999262_522832844449925_565535731_n.jpg

IMG_0404.jpg


189175_496197433792855_835306942_n.jpg
 
Hebu oneni hii picha jamani, au ilikuwa ni kabla ya show kuanza? Lakini mbona Jukwaani namuona MwanaFAtu anaimba?

MWANAFA20.JPG
 
nyumbani lanchi walikuwepo makapuku,wavuta bangi,wazururaji,waropokaji ambao huwa wanapenda kuwasingiza wenzao kuwa wanasababisha umaskini walionao wakati kwa msomi mwanaFA walikuwepo wenye akili zao,pesa zao na wanaojua burudani ni nini so wamelilax wanaburudika.sura za pesa zinaonekana.

Pole sana mkuu...

to the best of my knowledge, rafiki zangu wote wenye heshima, upeo na uwezo walikua kwa JIDE... na pia nafahamu FA alikusanya vichecche, mabange (clouds ni home of the drug addicts and alcoholics, and it is evidence based), complementarity mongers na watoto wa shule/chuo... Images dont lie,

Huwezi kuwa na pesa, na akili na unaejua burudani ukazama kwenye ukumbi wa mhadhara kuangalia watu wakiFOKAFOKA, unless una akili upside-down!!

Tukija kwenye suala la mapato nadhani hata mtoto wa miaka mitano anajua tofauti... HIPHOP HAILIPI

MwanaFA the smart guy has accepted to be used in a silly battle of the mnyonyaji na mnyonywaji, shame on him na sasa promo imeisha, waliokunja wamekunja, he has himself to carry all the shame and pieces
 
Kila siku watu wajifunze kutokana na makosa.
Akili za kuambiwa,changanay za kwako!
 
wooote semeni ila ukweli jana Jide alitupa shoo bab kubwa............yaani mtu hadi huujutii usingizi wako uliouacha ili uudhurie hii shoo. mbaya zaid wasanii wengine wa bongo fleva walimkubali sana bidada. mwanzo mwisho hakuna kuboreka bali tulitabasamu tu.

big up bidada ulitupa mashabiki wako tulichokihitaj.
 
Back
Top Bottom