Habari za Saida Karoli kufariki ni za kweli!?

Habari za Saida Karoli kufariki ni za kweli!?

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,589
Reaction score
28,651
Mwanamuziki Saida Karoli amefariki baada ya kuzama kwenye maji (drowning) kufuatia boti aliyokuwa akisafiri nayo toka Kisiwa cha Goziba kuzama baada ya kukumbwa na dhoruba na kuzama Ziwa Victoria.​
Inaalifiwa pamoja naye kuna watu wengine wamefariki dunia

SOURCE:

http://www.teentz.com/profiles/blogs/breaking-news-mwanamuziki-saida-karoli-afariki-kwenye-ajali-ya-ma

​

UPDATE
========
Kutoka wanaJF
Yuko hai na yuko mbeya souce bapromas.blogspot.com

http://bapromas.blogspot.com/

Hizi ni Habari za uongo kwa asilimia 100,
taarifa hizi zilizagaa sana jana jioni mjini Bukoba na kulazimisha waandishi wa habari kuwa na kazi ya ziada na hatimaye kujiridisha kwamba ni UONGO kwani kwa siku ya jana Saida karoli alikuwa na onesho mkaoni Mbeya.

Mods-Mnaweza futa huu uzi au kuandika tetesi
Byabato

hajafa yupo hai sosi neville meena..

 
Inasemekana sio za kweli, hawa ma-bloggers wanarusha tu habari bila kuthibitisha...
 
Hizi habari hazijadhibitishwa, maana wengine wanasema hajafa.
 
Naogopa kukubali kwamba habari hizi ni za kweli. Naomba zisiwe za kweli!!!!

Tiba
 
hii habari ni ya uwongo na imesambazwa sana tangia jana lakini kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba saida karoli yuko hai wala hajafa
 
Hizi ni Habari za uongo kwa asilimia 100,
taarifa hizi zilizagaa sana jana jioni mjini Bukoba na kulazimisha waandishi wa habari kuwa na kazi ya ziada na hatimaye kujiridisha kwamba ni UONGO kwani kwa siku ya jana Saida karoli alikuwa na onesho mkaoni Mbeya.

Mods-Mnaweza futa huu uzi au kuandika tetesi
Byabato
 
Mjengwa naye pia amerusha hii kitu.
 
Nimeiona kwa Mjengwa inasema amefariki. Wakati Kule kwenye blog ya Bukobawadau wanasema hajafa. Tuelewe lipi?
 
Hii itakuwa NEEMA KWA CLOUDS FM NA VIONGOZI WA CCM

:embarassed2::embarassed2::shock:
 
Ahsante wanaJF kwa kumaliza utata wa habari hii. Na sasa watanzania wanazidi kujivunia kuwepo kwa JamiiForums.com,

Nawatakieni asubuhi na kazi njema
 
Nimeikuta twitter
Millardayo: #TZA Saida Kalori: Nimepigiwa simu 250 watu wakitaka kujua kama nimekufa kweli, toka saa12 jioni mpaka saa9 usiku simu ikazima, niko Mbeya.
 
Last edited by a moderator:
Saida kalori Nitoke vipi for promo only.

Inasemekana Clouds FM wanamahusiano kikazi na TeenTz....Je. promoter wa Saida Karoli kwenye ziara hiyo Mbeya au Saida mwenyewe anamahusiano ya kikazi na hawa waliozusha habari za uwongo?
 
Back
Top Bottom