Wadau ,
Katika pitapita zangu za brochure za Movies, nikakumbana na hii Movie. Imechezwa na Jamie Foxxy na mwenzie jina limenitoka mpaka ni-google.
Sasa nimejaribu kui -download but...
Hii movie toka nchini malawi imezoa tuzo tano za kimataifa mwakani huu.
Nimejaribu kuitafuta katika torrent na youtube nimeambulia trailer tu.
Nikienda dukani inaonekana msamiati kwa wauzaji.
Kama...
Mamilioni ya mashabiki wa muziki nchini Tanzania, bado wanayo maswali mengi yasiyokuwa na majibu kuhusu suala la msanii Diamond Platnums, kuzimikiwa na warembo ambao kibongo...
Wadau leo kuanzia sa 3 usiku itv walirusha kipindi maalum kuhusu sherehe kwa wafanyakazi wa kampuni ya ipp iliyofanyika siku kadhaa zilizopita. Katika hafla hiyo kulikuwa na tuzo za mwenyeki kwa...
Ile filamu iliyokua ikisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa filamu(scola ya Aunt Ezekiel)sasa imepigwa stop na kuambiwa aondoe vipande vyote visivyo na maadili ili apewe kibali cha kuisambaza...
MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu' alinaswa akihaha kutafuta mwanya wa kuonana na Rais wa Marekani, Barack Obama muda mchache baada ya kuwasili nchini.
Aunty Lulu...
"NIMETEMBEA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NA KUGUNDUA KUWA MTU ALIYENIROGA NI MSANII MWENZANGU"...STEVE NYERERE
Makubwa yameibuka baada ya msanii Steven Mengere ‘Steve Nyerere', kufungua...
MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Swahiliwood Jaqueline Wolper Wolper Gambe amedai kuwa hawapendi sana wanaume wenye fedha kwani wengi wao ni waume za watu, kwa hiyo kwa kuwa nao si rahisi...
Nando kikaangoni tena, anasubiri huruma za wapiga kura kubaki BBA 2013 Tha Chase
Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Big Brother The Chase Nando, wiki hii ameingia kitanzini tena...
VIDEO YA WEMA SEPETU AKIWAPOROMOSHEA MATUSI MAZITO WAFANYAKAZI WAKE WA NDANI
STAA wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa vimbwanga, Wema Isaac Sepetu amezua bonge la timbwili kwa wafanyakazi wake...
naufamu sehemu ndogo tu inayo imbwa hivi;
"dreva kalewa pombe sawa hiyo? hataa hiyo si sawa dreva acha vituko".
je nani kaimba na naweza upata wapi?. naomba msaada jamani. ni hayo tu.
mia
Habari zenu wadau....
Wadau niliusikia wimbo huu hapo zamani kidogo,kama miaka mitatu iliyopita hivi.
Umeimbwa na watu wawili(mwanamke na mwanaume),na hicho ndicho kiitikio chake.
Anayefahamu...
Enter the Dragon star Jim Kelly dies aged 67
Karate ace and actor, who starred in the martial arts hit opposite Bruce Lee, had been suffering from cancer
Ben Child
guardian.co.uk...
Jim Kelly, who rose to fame in the Bruce Lee classic Enter the Dragon and went on to star in several blaxploitation films, has died. He was 67.
NPR's Hansi Lo Wang reported on Kelly's death for...