Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa wale ajukuu zangu tu ambao wamo ndani ya Jukwaa hili la JF; Pamoja na mvi zangu hizi, huwa napenda pia kufuatilia affairs za wajukuu zangu. Huyu mtangazaji ni mzuri sana na kazi zake ni makini...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nasikia uvaaji suti una masharti yake. Ni yepi hayo?
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Weekend ndo imeanza,wapi sehemu imetulia niende??Nataka kwenda sikiliza hii nyimbo na kudance bhana! "Careless Whisper" I Feel So Unsure As i take your hand And lead you to the dance floor As the...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Mwimbaji mkongwe wa muziki tanzania ametangaza kustaafu na kuomba wananchi wamchangie chochote kwani hana hata baiskeli!Ikumbukwe huyu mzee amekua akitumiwa na ccm katika sherehe mbalimbali na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Msanii Tundaman amejikuta akiambulia aibu ya mwaka baada ya kujitosa nusu uchi mtaani akiwakwepa askari polisi ambao walivamia kwake leo asubuhi kwa lengo la kumkamata.... Chanzo cha Tunda man...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, napenda kuanzisha uzi wenye lengo la kupeana taarifa zinazohusu Tasnia ya filamu Tanzania. Tasnia ya filamu nchini Tanzania inaajiri watu wengi sana, wengi wao ni vijana, ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Bright ambaye ni mdogo wake belle 9 http://mashakakisusi.blogspot.com/2013/08/bright-lonely-audio.html
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Download na Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Bright ambaye ni mdogo wake belle 9 http://mashakakisusi.blogspot.com/2013/08/bright-lonely-audio.html
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Romain Virgo [feat. Cameal Davis] Lyrics & YouTube Videos bonge la ujumbe katika huu wimbo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Utajiri, safari zake nje ya nchi vyatiliwa shaka *Ahusishwa na mtandao hatari wa Masogange KWA mara ya kwanza tangu lilipoibuka sakata la watu maarufu kujihusisha ama na utumiaji au usafirishaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Any member anayefuatilia star tv naomba tupeane update.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
the Hood My Name is Dashiki That's Swahili for Doggy-Style'' Mwaikumbuka hii Movie!
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Clouds media tayari wamezindua msimu wa Burudani za Fiesta kule Mkoani Kigoma, itafuatiwa na matamasha kadhaa katika mikoa zaidi ya kumi (10) . Wapenda Burudani katika mikoa hiyo wanajiandaa...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Vp hawa jamaa walipigwa mkwara gani
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Hatimae #KILIMUSICTOUR2013 na #SERENGETIFIESTA 2013 Matamasha makubwa ya Music Tanzania yanafunguliwa rasmi leo katika mikoa miwili tofauti lakini maarufu kwa uvuaji wa samaki ya MWANZA na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani hii aibu itatuondoke lini. Nuimekuwa nikiangalia movie za kibongo ile channel ya movie za kiswahili kupitia DSTV, Jamani ni aibu yaani unaogopa kabisa subtitles ya kuaibisha kabisa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna kila dalili mshiriki wa BBA 2013 kutoka Ghana Elikem "kupewa"ushindi wa mwaka huu na waandaaji wa Mashindano hayo hii ni kutokana na baadhi ya matukio yanayoendelea kutokea mjengoni humo 1...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salamu sana wakuu wote, Muda huu nimeshtuka kutoka usingizini baada ya kuota ndoto hii: "Nilikuwa nikisikiliza idhaa ya kiswahili ya bbc katika kipindi chao cha asubuhi cha amka na bbc mtangazaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu, Katika pitapita zangu za youtube nimekutana na kazi ya Mtanzania mmoja kwenye mambo ya filamu fupi yaani SHORT-FILM kwa kizungu, nikaona ni vyema niweke hapa ili na nyinyi mpate fursa ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Anadai show itakuwa kubwa sababu waandaaji yeye anatoka USA na juma pinto anatoka Uk Source clouds fm Anaongea sasa hivi my take Jamaa kuna mambo anaongea kama ajielewi "Vox popoli vox dei"
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom