Jifunze namna yakuandika PERFORMANCE CONTRACT ili mpunguze malalamiko yakuibiwa kila siku na mapromoter wenu, Ingia kwenye LINK hii hapa chini itakusaidia kupata PERFORMANCE CONTRACT DETAIL...
Jamani hivi kwenye huu wimbo Diamond - Nataka Kulewa - YouTube, anaposema amwage radhi lengo lake ni nini haswa, kwani ninavyojua kumwaka radhi ni kuvua nguo mbele za watu/ ya mtu, na akiwa...
Khabar zenu wadau! 1) me ni mgeni bmnmevutiwa na hii forum, naomba mnipokee. 2) naomba nisaidiwe kupata hii tamthilia ya kifilipino 'The long wait',mwenye nayo plzzzz,nkidownload hamna...
wana jf, kama mjuavyo kuhusu azam tv walisema mwezi wa kumi, wataanza rasmi kuuza visimbuzi vyao; leo ni tarehe 3 kipo kimya mpaka sasa, ni changa la macho ama?? manake maneno mengi halafu vitendo...
Hawa ni baadhi ya waasisi wa muziki wa hip hop tanzania na wanaokubalika na kuheshimika hasa katika uandishi wa mistari ya hip hop.ni nani anastahili kuwa mkali wa uandishi dhidi ya...
Jifunze namna yakuandika PERFORMANCE CONTRACT ili mpunguze malalamiko yakuibiwa kila siku na mapromoter wenu, Ingia kwenye LINK hii hapa chini itakusaidia kupata PERFORMANCE CONTRACT DETAIL...
One week after the first episode of
the talent search show Tusker
Project Fame Season 6 went on air
from the academy in Nairobi, there
have been twists and turns in
events.
The Beat has...
Jamani, hivi mbona yule mzee anayewakilisha image ya Tanzania hamna anachofanya pale, kwanini wamemuondoa Hamis yule wa zamani? mara mara ' i salute you" mara anajing'atang'ata tu, hivi kwanini...
Hii ni nyumba alimokuwa akiishi baba mazi wa msanii huyo ambaye ameaga dunia.lakini hawa wasanii kwa nini wako hivi?
Nachukia sana mimi
Endelea kutazama yaliyojiri kwenye hayo mazishi.
JAMCO BLOG...
Wasanii wa Music kutoka nchini NIGERIA wanao tamba sasa na kibao cha PERSONALLY kutua JIJINI DAR ES SALAAM november 21 na kuwatumbuiza wana jiji pale viwanja vya leaders club....
...
One week after the first episode of the talent search show Tusker Project Fame Season 6 went on air from the academy in Nairobi, there have been twists and turns in events.
The Beat has reliably...
kati ya movies hizi za jason bourne ni upi iliyokuvutia sana?
BOURNE IDENTITY
BOURNE ULTIMATUM
BOURNE SUPREMACY
Mimi binafsi hiyo ya tatu inanikosha sana hasa kwenye mapigano.je wewe mwenzagu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.