kimweri Jr
Senior Member
- Jun 9, 2012
- 131
- 42
Nimeshawahi kuanhalia movie moja inaitwa the notebook kiukweli mimevutiwa sana na aina hii ya movie, wadau nisaidieni majina ya nyingine kama kumi nizitafute. Natanguliza shukrani.

mtafutie "wrong turn"
Universal soldier,
The hit list
Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wrong turn hii hii ninayoijua mimi au kuna nyingine?
- A walk to remember
- Dear John
- Price and me
- Titanic
- Love story
- The Vow
- Love dont cost a thing
- I think i love my wife by Chris rock (comedy)
- Just wright
nikikumbuka nyingine nitakuongezea..
Wrong turn hii hii ninayoijua mimi au kuna nyingine?
Nimeshawahi kuanhalia movie moja inaitwa the notebook kiukweli mimevutiwa sana na aina hii ya movie, wadau nisaidieni majina ya nyingine kama kumi nizitafute. Natanguliza shukrani.
Itakua ya kinaijeria hii..maaana yule mbabu jinsi alivyo
THE VOW
hii movies ni kali sana..........