My Eternal - Star TV

My Eternal - Star TV

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,415
Reaction score
12,624
Star TV vipi? Kuna tamthilia ilikuwa inaonyeshwa Star TV ya My Eternal jana na leo hatujaona kitu, kuna mambo ya DW tu.
Hii ikoje jamani?
 
Kumbe jana haikuwepo!Mie ndio naisubiri.startv ndio zao ili isiishe haraka
 
Yule mademu Emilia Gidodi anafanana sana na madame Rita wa bongo star search.
 
Kumbe tuko wengi tunaoizimikia. Nimeanza kuamini Wa-TZ tumeanza kujua vitu vizuri.
 
Hii tamthilia imeshaanza kuniboa....wanaiprolong tu na visa vya kitoto kila cku
 
Back
Top Bottom