Clouds tv inawazalilisha sana watanzania....

Clouds tv inawazalilisha sana watanzania....

MPENDA USAWA

Senior Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
169
Reaction score
30
Hivi vipindi vingine jamani naomba viangalia utu....maana naangalia hiki kipindi cha huyu uwoya mpaka kimenifanya nimebadilishe Channel.
Kama unaamua kumsaidia mtu sio lazima kumjulisha kila mtu....huo unakuwa sio msaada unakuwa ni uzalilishaji maana bibi wa watu anashindwa kujielezea mpaka analia.
Hivi vitu vingine wakati mnaiga mkumbuke suala zima la maadili jamani na Utanzania.Kwa ukweli kipindi hiki kinachoitwa PARADISE sijakipenda....jaribuni kuwa wabunifu ktk njia nyengine kama hili mmeshindwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom