Kwa wasanii wa bongo

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
Jifunze namna yakuandika PERFORMANCE CONTRACT ili mpunguze malalamiko yakuibiwa kila siku na mapromoter wenu, Ingia kwenye LINK hii hapa chini itakusaidia kupata PERFORMANCE CONTRACT DETAIL zinazoweza kukulinda hata ukienda mahakamani kushitaki endapo limetokea tatizo fulani(ni bure hakuna malipo yoyote).fuata hizi process
1) click kwenye hiyo link
2) Nenda juu kabisa ya hiyo website
3) Utakuta neno limeandikwa "OTHERS" click hapo
4) Kisha nenda moja kwa moja hapa "MUSIC/ENTERTAINMENT FORMS''click
5) Utakutana na mambo mengi yanayohusu wasanii lakini wewe click hapa ''PERFORMANCE AGREEMENT''
6) Utakutana na hiyo form(utaamua mwenyewe uipotezee au uijaze)
7) ukiona imekufaa njoo hapa hapa ushukuru
8) ukiona imekusaidia mwambie na mwezako afaidi usiwe mbinafsi
Easy Legal Forms & Contracts for Wills Leases and More ¦ LawDepot
 
Back
Top Bottom