Vote for Hisia to save him at #TPF6...sms TUSKER 12 send to;
15324 - If you are in Tanzania
21001 - if you are in Kenya
8338 - if you are in Uganda
+254739966811 - If you are in Burundi...
wadau wa burudani naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia nikapata nyimbo za mwanamuziki wa siku nyingi anayeitwa SAM FAN THOMAS (hata sijui ni wa nchi gani)
nakumbuka nikiwa mdogo tulikuwa...
Wpendwa mie ni mshabiki sana wa hope channel. Natumia dish la kawaida. Sasa nina mpango wa kutumia dstv or any other tv providers inayokamata. Satr times wanyo ila huwa ikatika katika sana siyo...
kuna nyimbo mbili ambazo zote ni soundrack
nyimbo za Mario Winans
moja ilikuwa soundrack ya filam ya Edie Murphy ya DR Dolitle..
ingine ilikuwa tv movie inaitwa 'the red sneaker'
nimezitafuta...
salaam wakuu...wiki iliyopita nilitumiwa nyimbo kama nne hivi za msaniii mmoja anaitwa baba kundambanda...jamaa ameongea maneno makali sana lakini pamoja na yote ameongea ukweli......mi nasema...
Mwanamziki Justin Bieber ni msanii ambaye anavuma sana haswa kwa vijana na akina dada.
Staa huyu wa miaka 19 ameweza kuiteka dunia kwa nyimbo zake.
Je wazifahamu nyimbo zake?
Waweza kugawa...
Wote ni wanamuziki kutoka Jamaica,wanaimba muziki ambao una ladha nzuri kabisa sweet reggae/riddim,binafsi napata wakati mgumu kujua nani mkali kati yao.
Chini ni baadhi ya nyimbo za kila mmoja...
Nimeona tiketi za concert ya Justin Beiber katika tour yake tarehe 29 Nov, 2013 atakayofanya Sydney Allphone arena
nimeshangaa the way hiyo tiket inauzwa!! na sio mwanamziki maarufu ama legend...
Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...?
NOTE:-
1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa....
2)Uwe na sample za kazi...
Lionel Richie - To Love A Woman ft. Enrique Iglesias - YouTube
To Love A Woman lyrics-Enrique iglesias ft LIONEL RICHIE Enrique:
I don't know what it is but she drives me crazy
I don't know what...
Kama kuna mtu anauza hizi muvi/au anatoa bure naomba tuwasiliane tafadhari....
01. Final destination, part1.......hadi mwisho
02. Wish Master, part1......hadi mwisho
03. Wrong turn...
Word Up!!!
Hopefuly weekend mswano.....kuna jambo naliona sana siku hizi kwenye majukwaa ya matamasha mbalimbali pindi wanapopanda wasanii wa muziki wa Hiphop,suala la kutokuwa na watu wa kubreak...
Salaam wakuu,
Pasi shaka kwa wapenzi wenzangu wa 24 (nimeirudia mwanzo-mwisho 3times) kuna baadh ya matukio ulitokea kuyakubali sana. Hebu tushee hapa:
Kwa upande wangu, mwanzoni kabisa hakuna...
Wandugu ninaomba anaeujua jina lake halisi wimbo wa African Stars band a.k.a Twanga pepeta International we vionjo vya "SUGUA KISIGINO" naomba atupie jina lake hapa ili niweze kuutafuta.
Wasalaam wana jamvi!!
Naomba mwana jamvi mwenye nyimbo hizi mbili zilizo katika high quality aziupload nitadownload nimetafuta kwenye net lakini nimepata zilizo na low quality nyimbo zenyewe ni...