Tusker Project Fame 6 - Vote for Hisia

Tusker Project Fame 6 - Vote for Hisia

nickname

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
544
Reaction score
151
Vote for Hisia to save him at #TPF6...sms TUSKER 12 send to;
15324 - If you are in Tanzania
21001 - if you are in Kenya
8338 - if you are in Uganda
+254739966811 - If you are in Burundi,
15324 - If you are in Rwanda and South Sudan
or online at
http://tusker.mobi
 
ahsante nickname tunafanya hivyo, ili hisia aendelee kuwepo mjengoni.
 
Last edited by a moderator:
Nickname na Odemba nawapongeza kwa kuwaamsha wanajf -kijana anastahili kupewa support ya watanzania wote - he is just amazing good singer. Last Sunday mmi na family tulijimwaga mjengoni - Tusker Project Fame Dome kumuona live na kumtia moyo.

Jana ulimuona alivyopozi -NIPASHE?

Safari hii Tanzania hatutaki namba ya pili tunataka namba 1 and nothing else. ALL VOTES FOR HISIA - SMS TUSKER 12
 
21.jpg

I keep on voting him all the wayyyyyyyyyyyyyyy
 
Nickname na Odemba nawapongeza kwa kuwaamsha wanajf -kijana anastahili kupewa support ya watanzania wote - he is just amazing good singer. Last Sunday mmi na family tulijimwaga mjengoni - Tusker Project Fame Dome kumuona live na kumtia moyo.

Jana ulimuona alivyopozi -NIPASHE?

Safari hii Tanzania hatutaki namba ya pili tunataka namba 1 and nothing else. ALL VOTES FOR HISIA - SMS TUSKER 12
mkuu Sungurampole tukijitahidi kupiga kura na kuwashawishi wengine pia, anaweza kufika mbali
 
Last edited by a moderator:
Plz naomba jina la wimbo alioimba juzi na mwimbaji wake plz,naupenda sana na aliutendea haki ana nimempa kura yangu
 
Mtanzania huyu anajitahidi sana,japo amekulia nje lakini ni mwenzetu hvo tujivunie,tafadhali naomba jina la wimbo alioimba juzi maana naupenda lakini sijui unaitwaje na alieimba ni mwanamziki gani
 
Back
Top Bottom