24 Series: What are your profound memories?

24 Series: What are your profound memories?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
Salaam wakuu,
Pasi shaka kwa wapenzi wenzangu wa 24 (nimeirudia mwanzo-mwisho 3times) kuna baadh ya matukio ulitokea kuyakubali sana. Hebu tushee hapa:
Kwa upande wangu, mwanzoni kabisa hakuna kitendo kilinishangaza kama kugundua Nina Myers ni snitch pale CTU aisee nilikasirika sana. Vile vile wale jamaa walivyomuua Renee walker naku unleash hasira za Jack bauer aisee watu walikiona cha mtema kuni.
 
me season 9 kwnda season 10 ndo cjawapata baada ya jack kuwa exposed na nuclear material ameponaje wakat kulikuwa hakuna tiba ya hio kitu..! me kama cjaelewa vilee, all in all is the my best movie ya kijajus kuwahi kutokea..!
 
Yelena...
 
mi sijawakubali pale j.b alipouvamia ubalozi wa Urusi kizembe namna ile.
Nalog off
 
me season 9 kwnda season 10 ndo cjawapata baada ya jack kuwa exposed na nuclear material ameponaje wakat kulikuwa hakuna tiba ya hio kitu..! me kama cjaelewa vilee, all in all is the my best movie ya kijajus kuwahi kutokea..!
yeah hata mimi miaka ile nilipoimaliza ile series niludhani mchezo ndo umeishia pale kwa jack sasa nilishindwa kuelewa nilipokuja kuona season inayofuata jack yupo na hakuna walipoonyesha jamaa aliponaje
 
mie navutiwa sana na season 2, hasa pale C.T.U waliposhindwa kudisarm nuclear bomb na jack akajitolea kwenda kulipuka nalo. lakini kumbe George mason alikuwa kwenye ndege akamuomba jack ashuke yeye ataenda kulipuka nalo.
 
uzushi mwingi mbona nasikia inaendekea juzi alitoa mwendelezo je nikweli?
 
me season 9 kwnda season 10 ndo cjawapata baada ya jack kuwa exposed na nuclear material ameponaje wakat kulikuwa hakuna tiba ya hio kitu..! me kama cjaelewa vilee, all in all is the my best movie ya kijajus kuwahi kutokea..!

Season 9? 10?? Zumetoka Mwaka gani hizo? I thought season 8 ndo mwisho.
 
Sikumbuki ni Season ya ngapi, ila ni Season nzima aliyokamua Habib Marwan, lile gaidi ni soo.
 
Mdau we unajua sana kwa kweli series nzima hakuna season iliyonikuna ka Habib Marwan bonge la gaidi lile lilikua na roho mbaya ka tofari la kuchoma
All in all 24 ni best series of all times I can't wait mwakani kuiona tena mwakani C.T.U
Sikumbuki ni Season ya ngapi, ila ni Season nzima aliyokamua Habib Marwan, lile gaidi ni soo.
 
Last edited by a moderator:
mkuu donlucchese hakuna sehemu inaniumiza kama magaidi walipowaua David palmer na Michelle Dessler. yaani nilitamani hata niache kuangalia ile series
 
Last edited by a moderator:
DEMBA ila raisi Charles Logan is funniest president ever nilikua nacheka sana alivyokua anamuogopa Jack
 
Last edited by a moderator:
DEMBA ila raisi Charles Logan is funniest president ever nilikua nacheka sana alivyokua anamuogopa Jack

Hahahaaa...anakwambua: mike, what we do now..? Mike anamjibu: sir ..you are the president of U.S..... logan anajibu..yeah..lets pray..
 
Last edited by a moderator:
mkuu donlucchese hakuna sehemu inaniumiza kama magaidi walipowaua David palmer na Michelle Dessler. yaani nilitamani hata niache kuangalia ile series

Aisee kweli mkuu pale ilinitia hasira sana yaan nlimuonea hruma sana tony almeida
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu ni mwisho....niliwahi kuiangalia nikiwa nasoma aisee nilifeli mitihan vibaya mpaka kufeli kule kumeniletea shida mpaka sasa ktk maisha yangu pengo hilo naliona kabisa
But all in all naipenda hii ki2 mpaka marafiki walifika hatua ya kuniita j.bauwer kwa kuipenda hii series....
By th way napenda sana sehem ile ambapo general JUMA alipo break whthouse na pale alipo mtia kibao madam presdent.pia naipenda sana ile part j.b alipo mteka logan ktk msafara wa magari ktk tunnel huku amevalia suit-shield
 
Back
Top Bottom