Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,345
wadau wa burudani naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia nikapata nyimbo za mwanamuziki wa siku nyingi anayeitwa SAM FAN THOMAS (hata sijui ni wa nchi gani)
nakumbuka nikiwa mdogo tulikuwa tunazisikiliza sana nyumbani nyimbo hizo kama SONGEA, AFRICAN TYPIC COLLECTION, MAKOSA n.k baba alikuwa akitoka kugida (ndivyo alivyokuwa akiita mwenyewe) basi ni lazima tucheze naye hiyo miziki ya huyo jamaa, it was fun kwa kweli.
cc Nakapanya Baba V Arushaone Babu Dc Kaizer watu8 Judgement Chocs Mrembo by Nature Ruttashobolwa mwekundu The Boss kiwatengu Heaven on Earth ladydoctor Erickb52 Mokoyo Munkari christine ibrahimu Malafyale @figganigga gfsonwin Mashaxizo na wengine
naomba niombe radhi kama nitakuwa nimekumention ilihali ww si mdau wa burudani ni katika kutaka haja yangu ifanikiwe.
natanguliza shukrani zangu za dhati.