Hope channel

Hope channel

Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2006
Posts
4,568
Reaction score
2,925
Wpendwa mie ni mshabiki sana wa hope channel. Natumia dish la kawaida. Sasa nina mpango wa kutumia dstv or any other tv providers inayokamata. Satr times wanyo ila huwa ikatika katika sana siyo stable.
Au nawezatumia dstv na kuipata. Please wakuu wa digitali naomba msaada wenu hapa
mbarikiwesana
 
Hope ipo fta kwny ku na cband degree ya 68e inabidi uwe na receiver
 
je kwa kuwa na dstv waweza ipata mkuu? Thank you so much though
 
Back
Top Bottom