Mwanamziki Justin Bieber na nyimbo zake

Mwanamziki Justin Bieber na nyimbo zake

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
391
Reaction score
69
Mwanamziki Justin Bieber ni msanii ambaye anavuma sana haswa kwa vijana na akina dada.
Staa huyu wa miaka 19 ameweza kuiteka dunia kwa nyimbo zake.
Je wazifahamu nyimbo zake?
Waweza kugawa nyimbo zake hapa.
Nyimbo zake mpya kabisa utazisikiliza katika mtandao wa bkuhabari
 
Back
Top Bottom