Jaribu kwenda frostwire, sound cloud ama hata you tubekuna nyimbo mbili ambazo zote ni soundrack
nyimbo za Mario Winans
moja ilikuwa soundrack ya filam ya Edie Murphy ya DR Dolitle..
ingine ilikuwa tv movie inaitwa 'the red sneaker'
nimezitafuta nimezikosa
anaeweza please
Download program inaitwa Youtube converter!Kisha unaweza kupata hizo audio tracks kupitia youtube!Nyimbo gani za mario winans unazozitafuta?